CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

DIGITAL ARTS STICKER,TINTED,LOGO CALL 0653089378

Wednesday, November 4, 2015

Jipatie stendi na vishikizo vyenye ubora na vyakuvutia

Nyumba/Chumba chenye kuvutia hupambwa na vifaa vyenye nakshi na urembo mzuri.Kuanzia rangi na muundo hufanya nyumba ama chumba kisiwe chenye kuchosha bali kumvutia mtu kuendelea kukitazama kwa namna vile kinavutia kwa mapambo yake ya kisasa.
Habari njema ewe mmiliki wa nyumba ama chumba na unapenda nyumba ama chumba chako kikuvutie na kumvutia kila mgeni wako kwa muonekano wa kifahari na wakisasa zaidi.
Sasa wakazi wa Morogoro mjini na maeneo jirani...CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu tena kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA STENDI NA VISHIKIZO BORA VYENYE UREMBO WAKUVUTIA NA VYAKISASA.

Hiyo ni mifano michache ya stendi na vishikizo vya chuma vinavyo tengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO.
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

0
Read More »

Jichagulie uzio na urembo wa ngazi za nyumba

Nyumba nzuri na yenye kuvutia hutokana na urembo na nakshi zilizopo ndani na nje ya nyumba yako.Kwa kulitambua hilo tunakuundia urembo unaoendana na teknolojia na ubunifu wa kisasa.
Habari Tanzania hususani wakazi wa morogoro mjini na maeneo jirani.CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA UZIO NA UREMBO WA NGAZI ZENYEKUVUTIA NA KUDUMU MUDA MREFU.

 Hiyo ni mifano michace ya uzio na nakshi za ngazi zinazotengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

0
Read More »

Vitanda vya chuma katika rangi na maumbo tofauti tofauti

Habari Tanzania hususani wakazi wa morogoro mjini na maeneo jirani.CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA KITANDA BORA VYENYE UREMBO MURUA.

 Kitanda Rangi Nyeusi Na Urembo Mwekundu

Kitanda Rangi Ya Kijani 

Kitanda Rangi Ya Pinki Na Urembo Mweupe

Kitanda Rangi Ya Pinki Na Urembo Wa Kijani

Kitanda Rangi Ya Zambarau Na Urembo Mweupe

Kitanda Rangi Nyeupe Na Urembo Wa Pinki

Kitanda Rangi Nyeupe Na Urembo Wa Pinki

Kitanda Rangi Nyeupe Na Urembo Wa Pinki

 Kitanda Rangi Nyeusi Na Urembo Wa Dhahabu

Kitanda Rangi Ya Silva Chote

Kitanda Cha Ngazi Cha Watoto Rangi Ya Bluu

Kitanda Cha Ngazi Cha Watoto Rangi Ya Pinki Maziwa

Kitanda Cha Ngazi Cha Watoto Rangi Ya Pinki

Kitanda Cha Ngazi  Rangi Nyeusi

Hiyo ni mifano michace ya vitanda vya chuma vinavyo tengenezwa na
 CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

7
Read More »

Mageti yenye muundo na urembo wa kisasa jichagulie

Endana na teknolojia ya ubunifu sio nyumba tu bali pia geti la nyumba ama uzio mzuri utaifanya nyumba yako kuwavutia watazamaji.
Habari njema ewe mmiliki wa nyumba na unapenda nyumba yako iwe na muonekano wa kifahari na wakisasa zaidi.Sasa wakazi wa Morogoro mjini na maeneo jirani...CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu tena kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA MAGETI BORA YENYE UREMBO WAKUVUTIA NA YAKISASA.

Hiyo ni mifano michache ya mageti ya chuma inayo tengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO.
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

0
Read More »

Milango ya chuma katika rangi na urembo tofauti tofauti

Habari njema ewe mmiliki wa nyumba na unapenda nyumba yako iwe na muonekano wa kifahari na wakisasa zaidi.Sasa wakazi wa Morogoro mjini na maeneo jirani...CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu tena kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA MILANGO BORA YENYE UREMBO WAKUVUTIA NA YAKISASA.

Hiyo ni mifano michace ya milango ya chuma inayo tengenezwa na .CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO.Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

0
Read More »

Bidhaa nyingine za chuma tunazo tengeneza

Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA BIDHAA BORA NA ZAKISASA.

Hiyo ni mifano michace ya bidhaa zinazotengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

0
Read More »

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242