CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

DIGITAL ARTS STICKER,TINTED,LOGO CALL 0653089378

Wednesday, November 4, 2015

Vitanda vya chuma katika rangi na maumbo tofauti tofauti

Habari Tanzania hususani wakazi wa morogoro mjini na maeneo jirani.CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA KITANDA BORA VYENYE UREMBO MURUA.

 Kitanda Rangi Nyeusi Na Urembo Mwekundu

Kitanda Rangi Ya Kijani 

Kitanda Rangi Ya Pinki Na Urembo Mweupe

Kitanda Rangi Ya Pinki Na Urembo Wa Kijani

Kitanda Rangi Ya Zambarau Na Urembo Mweupe

Kitanda Rangi Nyeupe Na Urembo Wa Pinki

Kitanda Rangi Nyeupe Na Urembo Wa Pinki

Kitanda Rangi Nyeupe Na Urembo Wa Pinki

 Kitanda Rangi Nyeusi Na Urembo Wa Dhahabu

Kitanda Rangi Ya Silva Chote

Kitanda Cha Ngazi Cha Watoto Rangi Ya Bluu

Kitanda Cha Ngazi Cha Watoto Rangi Ya Pinki Maziwa

Kitanda Cha Ngazi Cha Watoto Rangi Ya Pinki

Kitanda Cha Ngazi  Rangi Nyeusi

Hiyo ni mifano michace ya vitanda vya chuma vinavyo tengenezwa na
 CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA



7 comments:

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242