CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

DIGITAL ARTS STICKER,TINTED,LOGO CALL 0653089378

Wednesday, November 4, 2015

Jichagulie mwamvuli wa jua kwa ajili ya maegesho ya magari

Je unahitaji mwamvuli kwa ajili ya maegesho ya magari nyumbani kwako ama kazini kwako kwa ajili ya wateja wako?Tofauti na kukinga dhidi ya jua na mvua pia miamvuli itafanya mazingira yako kuwa yakuvutia na kuvutia wateja katika ofisi yako.
Habari njema kwako hususani wakazi wa morogoro mjini na maeneo jirani.CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA MWAMVULI BORA WENYE KUVUTIA NA KUPAMBA MAZINGIRA YAKO.



Hiyo ni mifano michache ya stendi miamvuli ya maegesho ya magari ambayo inatengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO.
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA


No comments:

Post a Comment

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242