CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

DIGITAL ARTS STICKER,TINTED,LOGO CALL 0653089378

Wednesday, November 4, 2015

Jichagulie uzio na urembo wa ngazi za nyumba

Nyumba nzuri na yenye kuvutia hutokana na urembo na nakshi zilizopo ndani na nje ya nyumba yako.Kwa kulitambua hilo tunakuundia urembo unaoendana na teknolojia na ubunifu wa kisasa.
Habari Tanzania hususani wakazi wa morogoro mjini na maeneo jirani.CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA UZIO NA UREMBO WA NGAZI ZENYEKUVUTIA NA KUDUMU MUDA MREFU.







 Hiyo ni mifano michace ya uzio na nakshi za ngazi zinazotengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA



No comments:

Post a Comment

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242