CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

DIGITAL ARTS STICKER,TINTED,LOGO CALL 0653089378

Wednesday, November 4, 2015

Jipatie stendi na vishikizo vyenye ubora na vyakuvutia

Nyumba/Chumba chenye kuvutia hupambwa na vifaa vyenye nakshi na urembo mzuri.Kuanzia rangi na muundo hufanya nyumba ama chumba kisiwe chenye kuchosha bali kumvutia mtu kuendelea kukitazama kwa namna vile kinavutia kwa mapambo yake ya kisasa.
Habari njema ewe mmiliki wa nyumba ama chumba na unapenda nyumba ama chumba chako kikuvutie na kumvutia kila mgeni wako kwa muonekano wa kifahari na wakisasa zaidi.
Sasa wakazi wa Morogoro mjini na maeneo jirani...CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO ambao ni mabingwa wakongwe katika fani ya uundaji vifaa kwa malighafi za chuma,sasa wapo tayari kukuhudumia mteja popote ulipo.Kwa kuendana na teknolojia katika masuala ya urembo wa ndani na nje ya nyumba yako ama ofisini CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO tutakutengenezea vifaa vyenye muonekana wa kuvutia na vya kisasa na kuifanya nyumba ama ofisi kuwa yakuvutia.Kwa kutumia mitambo ya kisasa na mafundi waliobobea tutakufanyia kazi bila usumbufu tena kwa wakati na kwa bei nafuu kabisa.Karibu tukuhudumie.
HIZI NI BAAZI YA KAZI ZETU TULIZOFANYA,JIONEE NA UCHAGUE PIA TUNATOA NA TUNAPOKEA  USHAURI JUU YA KAZI ZETU.

JIONEE..TATHMINI NA CHAGUA STENDI NA VISHIKIZO BORA VYENYE UREMBO WAKUVUTIA NA VYAKISASA.















Hiyo ni mifano michache ya stendi na vishikizo vya chuma vinavyo tengenezwa na CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO.
Wasiliana nasi kwa namba ya simu 0789529242
Morogoro Mzumbe Misufini.
KARIBU SANA KWA BIASHARA

No comments:

Post a Comment

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242

CHAPAKAZI METAL FABRICATION MOROGORO 0789529242